hapa wakiwa wanaelekea katika boti ilikuweza kuvuka baharii na kuweza kufika shuleni ambapo pana umbali wa kama kilometa 8 toka wavuke baharii
wakiwa wamekwisha karibia kupanda katika boti hiloo
hizi ndizo miundo mbinu wanazo tumia watoto wetu pindi wanapo taka kwenda shule pamoja na wakati wa kurudi kumbuka hapo kunawakati bahari hujaa kupita kiasi hivyo huwalazimu kutumia dakika 15 kusubiri mpaka maji yapungue kweli elimu ya tanzania inaitajika kuwezeshwa kwa hali na mali nadhani wadau wa elimu watakuwa wameliona hili na watalifanyia kazi
DON'T BOTHER YA JOH MAKINI IMEGHARIMU 32 MILLIONS
10 years ago



No comments:
Post a Comment