Rick Ross akitoa salamu ya salut kwa washabiki wake waliojitokeza kumpokea ambao walikuwa na bashasha na furaha pale walipo muona mzee wa HAAAAA. (hawapo pichani)
Operesheni Meneja wa Prime Time Promotions,Balozi Kindamba akiwaongoza wageni wake kuelekea kwenye ndinga tayari kuondoka kuolekea kwenye hoteli waliopangiwa kufikia huku Rick Ross na akiwa anafurahii kutua katika aridhi ya tanzania kwa maraya kwanza akiwa na baadhi wanamuziki wenzake aliombatana nao ilikuweza kutumbuiza katika tamasha la Serengeti Fiesta 2012 .
DON'T BOTHER YA JOH MAKINI IMEGHARIMU 32 MILLIONS
10 years ago


No comments:
Post a Comment