Binti
mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Mariam umemkuta umauti baada ya
kubakwa mpaka kufa,vijana hao waliokosa utu na kushindwa kumuogopa Mungu
walifanya kitendo hicho mbele ya eneo la kanisa huko Nachingwea
Lindi.Marehemu akitoka Nachingwea Resort katika muziki siku ya
ijumaa.Inasadikika kuwa marehemu alikuwa amelewa na watu walio mbaka
alitoka nao kwenye muziki.
PALACE HOTEL

Vumbua Hazina chini ya kizibo

+255788788218
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Powered by Blogger.
No comments:
Post a Comment