Blogger Widgets katika kuelekea sikukuu za x-mass na mwaka mpya viongozi mbalimbali wawatakia wananchi wao heri za sikukuu hizo | Mfaume Kikwato JR

PALACE HOTEL

PALACE HOTEL

Vumbua Hazina chini ya kizibo

Vumbua Hazina chini ya kizibo
+255788788218

BAYPORT

BAYPORT
KOPA BAYPORT

Monday, December 10, 2012

katika kuelekea sikukuu za x-mass na mwaka mpya viongozi mbalimbali wawatakia wananchi wao heri za sikukuu hizo

Mkuu wa wilaya ya mkinga mkoani Tanga Bi Mboni Mgaza wakati akiweka jingo katika Production za redio Mwambao Fm Tanga za kuwatakia mafanikio mema ya X mass na Mwaka Mpya wananchi wa wilaya yake ya mkinga

Hapa akiwa anapewa maelekezo na baadhi ya watangazaji wa redio mwambao fm jinsi ya kutia sauti za kuwatakia heri wananchi wa wilaya ya mkinga na mkoa wa tanga kwa ujumla.



picha ni Badhi ya watangazaji wa redio mwambao fm kuanzia kushoto ni Kalonga Kasati katikati ni mkuu wa wilaya ya Mkinga Bi Mboni Mgaza  wapili kutoka kwa mkuu wa wilaya ni Selemani Kibugo huku wamwisho ni kijana Almasi Shija  wakiwa katika picha ya pamoja mara bada ya kukamilisha mandalizi ya jingo za X Mass na Mwaka Mpya Kwa upande wa viongozi wa mkoa watanga kwa ujumla.

Mkurugenzi wa Blog ya kijamii ya Kikwatojr.blogspot.com anawatakia wale wote wanao tembelea blog hii ya kijamii kwa lengo la kupata habari mbali mbali na kimaendeleo Heri ya X Mass na Mwaka Mpya wadau wanguu wote nawapenda sana na nimewandalia mambo mazuri kwa mawaka wa 2013 cha msingi usisite kutembelea blog hii ya kijamii 

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.