Blogger Widgets msanii Ragga Dee adondosha kichupa kipya | Mfaume Kikwato JR

PALACE HOTEL

PALACE HOTEL

Vumbua Hazina chini ya kizibo

Vumbua Hazina chini ya kizibo
+255788788218

BAYPORT

BAYPORT
KOPA BAYPORT

Saturday, February 23, 2013

msanii Ragga Dee adondosha kichupa kipya

Akiwa ni msanii mwenye nidhamu na heshima katika kazi yake kiasi cha kupata heshima kubwa kutoka kwa mashabiki na wadau wa muziki nchini Uganda, msanii Ragga Dee adondosha kichupa kipya alichokibatiza jina 'Katonda Kyasalawo'

Ragga Dee ameelezea kuwa hivi sasa anaongeza nguvu akijikita zaidi katika miondoko ya Zouk na Soukous akitumia sana lugha ya kiLuganda, kiingereza na Lingala.
kicheki kichupa chake kipwa hapa 

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.