Blogger Widgets | Mfaume Kikwato JR

PALACE HOTEL

PALACE HOTEL

Vumbua Hazina chini ya kizibo

Vumbua Hazina chini ya kizibo
+255788788218

BAYPORT

BAYPORT
KOPA BAYPORT

Tuesday, August 28, 2012


                CHAMA CHA ADC SASA CHAKABIDHIWA USAJIRI WA KUDUMU

Baada ya kutafuta usajili kwa muda mrefu sasa chama cha ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE ADC kimeweza kupewa usajili wa kudumu utakacho kiwezesha kuingia rasimi katika kinyanganyiro cha uraisi mwaka 2010 ilikuweza kusambaza ilani ya chama hicho sasa kimepewa mashaririki ya kuhakikisha wanakuwa na matawi katika mikoa yote ya Tanzania bara na Tanzania visiwani ilikuweza kukiruhusu chama hicho kushiriki katika uchaguzi mkuu.
Mwenyekiti wa chama cha ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE ADC Bw.Said Miraji akiwasili katika mkutano mkuu wa chama hicho kwaajili ya kuongea wanachama wake  baada ya kukabidhiwa cheti cha kudumu na John Tendwa msajili wa vyama vya siasa Tanzania jana katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini Dar es salaam.
Mwekiti wa Chama cha ADC Bw.Said Miraji katikati akiongea na wanachama wake mara baada ya kukabidhiwa cheti cha kudumu na John Tendwa msajili wa vyama vya siasa Tanzania jana baada ya kutimiza masharti alioyoopewa. ambapo kilipatiwa usajili wa muda tarehe 26 machi 2012 (kulia) ni katibu mkuu wa chama cha (ADC) Bw Kadawi Lucas(kushoto)Mwanachama  wa chama FORD Bw.Ramadhani Mohamedi.
Wanachama wa chama hicho wakiwa katika mkutano huowao uliofanyika kwenye hoteli ya Lamada jijini Dar es salaam jana.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.