Blogger Widgets | Mfaume Kikwato JR

PALACE HOTEL

PALACE HOTEL

Vumbua Hazina chini ya kizibo

Vumbua Hazina chini ya kizibo
+255788788218

BAYPORT

BAYPORT
KOPA BAYPORT

Thursday, August 16, 2012


Yanga yawasilisha TFF Majina ya Wachezaji 28 kwa Msimu mpya
Mabingwa wa Afrika Mashariki na ya Kati, Yanga, leo wamewasilisha kwa Shirikisho la Soka Tanzania, TFF, Majina ya Wachezaji wao 28 kwa ajili ya Msimu mpya wa 2012/13 wa Ligi Kuu Bara kwa mujibu wa Taarifa zilizotangazwa na Katibu Mkuu wao Mwesigwa Selestine.
Pamoja na Majina hayo yapo Majina ya Wachezaji 22 wa Timu ya Vijana wa chini ya Miaka 20, U-20, na miongoni mwao ni Wachezaji wa Timu ya Taifa, Saimon Msuva na Frank Domayo.
Ligi Kuu Bara inatarajiwa kuanza Septemba 1 lakini hadi leo Ratiba haijatangazwa.
Kikosi kamili kwa Timu ya Kwanza:
Makipa: Yaw Berko, Ally Mustafa 'Barthez' na Said Mohamed
Mabeki: Shadrack Nsajigwa, Godfrey Taita, Juma Abdul, Oscar Joshua, David Luhende na Stephano Mwasika, Nadir Haroub 'Cannavaro', Kelvin Yondan, Mbuyu Twite, Ibrahim Job na Ladislaus Mbogo
Viungo: Athuman Idd 'Chuji', Juma Seif Kijiko na Salum Telela, Nizar Khalfani, Shamte Ally, Idrisa Rashid na Omega Seme, Haruna Niyonzima, Rashid Gumbo na Nurdin Bakari
Washambuliaji: Said Bhanaunzi, Hamis Kiiza 'Diego', Didier Kavambagu na Jeryson Tegete
Kikosi cha U-20:
Makipa: Geofrey Nyalusi na Yusuf Abdul
Mabeki: Said Manduta, Zuberi Juma, Said Mashaka, Benson Michael, Issa Ngao, Rashid Said
Viungo: Frank Domayo, Omary Nasry, Clever Charles, Mwinyi Bakari, Mpenda Abdallah
Washambuliaji wa pembeni: Abdulahman Ally, Hussein Moshi, Abdallah Salum, Rehani Kibingu
Washambuliaji: Saimon Msuva, George Banda, Notikely Masasi, Suleiman Ussi, Kassim Jongo

NB: Frank Domayo & Saimon Msuva usajili wao umepelekwa katika usajili wa U-20 lakini wataitumikia timu ya wakubwa…….
----------------------------------------------------------------------------------------

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.