Blogger Widgets | Mfaume Kikwato JR

PALACE HOTEL

PALACE HOTEL

Vumbua Hazina chini ya kizibo

Vumbua Hazina chini ya kizibo
+255788788218

BAYPORT

BAYPORT
KOPA BAYPORT

Thursday, August 30, 2012

MWANADADA RYC KIUNO BILA MFUPA AKANA SHUTUMA JUU YA UJIO WAKE WA BONGO




SIKU chache baada kukanyaga ardhi ya Bongo kutoka uhamishoni nchini Kenya, nyota wa muziki wa kizazi kipya Afrika mashariki Rehema Charamila amesema kuwa hajarejea nchini kusaka wanaume. Akizungumza juzikati jijini Dar Ray C amefunguka kuwa hakuja Tanzania kutafuta Bwana wa Kuolewa nae kama watu wanavyovumisha mitaani isipokuwa amefanya hivyo kwa ajiri ya mapumziko na kazi pia. "Unajua mimi niliamua kuhamia Kenya baada ya kuona kuwa ninsupport kubwa kwa Mashabiki wa huko kuliko hapa Tanzania hivyo nikaamua kwenda kuwapa kile wanachokipenda na pia kujaribu kukuza muziki wangu, katika kusibitisha hilo hivi karibuni natarajia kuachia ngoma yangu mpya amabayo nimeipa jina 'Moyo Waniuma' alisema Ray C amabaye kwa sasa yuko nyumbani kwao bongo dar es salam.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.