Blogger Widgets MAJIMAREFU AWAKA JIMBONI KWAKE KWA KUCHAKACHULIWA NA WATENDAJI WAKE | Mfaume Kikwato JR

PALACE HOTEL

PALACE HOTEL

Vumbua Hazina chini ya kizibo

Vumbua Hazina chini ya kizibo
+255788788218

BAYPORT

BAYPORT
KOPA BAYPORT

Wednesday, August 22, 2012

MAJIMAREFU AWAKA JIMBONI KWAKE KWA KUCHAKACHULIWA NA WATENDAJI WAKE


MBUNGE wa jimbo la Korogwe vijijini  Stephen Ngonyani alimarufu majimarefu amemtaka  Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Bungu Mohamed Kalaghe kuweza  kuvitumia vifaa vya ujenzi alivyotoa kwa ajili ya ujenzi wa  kituo cha polisi katika tarafa ya Bungu.
Mh Ngonyani aliyasema hayo wakati alipotembelea kijiji hicho akiwa maeambatana na mkuu wa wilaya ya Korogwe  Mrisho Gambo kwa lengo la kukagua ujenzi wa kituo cha polisi ambacho ametoa vifaa kwajili ya ujenzi huwo.
Akizungumza katika mkutano kijijini hapo Mh majimarefu  amesema kuwa  anahitaji ushirikiano na viongozi mbalimbali katika jimbo hilo ili aweze kutatua kero na  kukamilisha ahadi alizozitoa wakati akiwa anawaomba kura mwaka 2010 .
Vifa alivyotoa mbunge huyo kabla ya ukaguzi huwo ni  pamoja na mifuko 40 ya saruji, makopo ya ya mafuta ya rangi yeneujazo wa  lita 40, nondo 20 za milimita 12 pamoja na shilingi milioni 1.5 kwa ajili ya malipo ya fundi atakayekarabati jengo hilo amabalo amelikuta likiwa halija fanyiwa kazi yeyeote, alikuta havijafanya jambo lolote.
Hata hivyo  Mkuu wa wilaya korogwe bwana  Mrisho Gamba ameliomba jeshi la polisi kuweza kuwachukulia hatua haraiwezekanavyo mtendaji wa kijiji hicho pamoja na mwenyekiti wa kijiji kwa kwakuhujumu maendeleo ya wananchi.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.