Blogger Widgets | Mfaume Kikwato JR

PALACE HOTEL

PALACE HOTEL

Vumbua Hazina chini ya kizibo

Vumbua Hazina chini ya kizibo
+255788788218

BAYPORT

BAYPORT
KOPA BAYPORT

Tuesday, August 21, 2012


TETESI ZA MAJUU KUHUSU UHAMISHO

Vijana wa  Liverpool wamemueleza  Andy Carroll, 23, kuamua mustakabali wake wa baadae mwishoni mwa week......

Daniele De Rossi, 29,ambaye anawindwa na Manchester city  is set to stay with Roma na kiungo  huyo ameitisha kikao leo jumanne na wahandishi wa habari kwaajili ya kutoa uwamuzi 
huwenda kiungo Tom Huddlestone, 25, akaondoka kwa mkopo White Hart Lane baada ya Stoke kuonyesha nia ya kutaka kumsajili.

na kwaupande Tottenham haina nia ya kumsajili mshambuliaji wa  Arsenal 28-year-old Marouane Chamakh.

 huku nako klabu ya Fulham ipo kwenyemazungumzo na Striker wa zamani wa Arsenal Eduardo 29-year-old  wa kitita cha £7 m kuja kuwa mbadala wa forward wa kimataifa wa marekani Dempsey ambae mapema wiki hii alikataa kuichezea timu hiyo.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.