mdau wa blog ya kikwatojr.blogspot.com Beatrice ishengoma akiwa katika tabasamu safiii
hapa wakiwa katika bozi la kupata pichaBeatrice ishengoma pamoja na mdau Hepy msemwa baada ya kupada diploma yao ya maswala ya uandishi wa habari na utangazaji.
hawa nao ni miongoni mwa wahitimu wa jounalism katika cho cha Arusha Jounalism Training Collage kilichopo jijini arusha maeneo ya mbauda kwamrombo.
Mdau huyu bwana Amani James akiwa katika masikitiko makubwa baada ya wezake kuweza kumaliza katika chuo hicho nae anachukua levo ya diploma ya jounalizm . blog ya kikwatojr.blogspot.com inawatakia mafanikio mema katika kazi zao za mikono.
PALACE HOTEL

Vumbua Hazina chini ya kizibo

+255788788218
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Powered by Blogger.
No comments:
Post a Comment