Blogger Widgets Mh Sugu, Fid Q ndani ya BONGO MOVIE! | Mfaume Kikwato JR

PALACE HOTEL

PALACE HOTEL

Vumbua Hazina chini ya kizibo

Vumbua Hazina chini ya kizibo
+255788788218

BAYPORT

BAYPORT
KOPA BAYPORT

Thursday, November 22, 2012

Mh Sugu, Fid Q ndani ya BONGO MOVIE!


Mheshimiwa Mbunge wa jimbo la Mbeya  mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ameshiriki katika filamu inayoitwa Bifu akiwa pamoja na mwanahiphop mwenzake Fid Q.

Filamu  hiyo inaelezea maisha ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya wakiongelea maisha yao pamoja na changamoto wanazokutana nazo kila siku.

Ukiachilia mbali wasanii kama  Fid Q na Sugu yupo pia mwanadada muigizaji wa siku nyingi Christina John maarufu kwa jina la Sintah.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.