Blogger Widgets ADHA ZA USAFIRI WAZIPATAZO WANAFUNZI WA TONGONI SEC SOCHOL | Mfaume Kikwato JR

PALACE HOTEL

PALACE HOTEL

Vumbua Hazina chini ya kizibo

Vumbua Hazina chini ya kizibo
+255788788218

BAYPORT

BAYPORT
KOPA BAYPORT

Saturday, September 15, 2012

ADHA ZA USAFIRI WAZIPATAZO WANAFUNZI WA TONGONI SEC SOCHOL

hapa wakiwa wanaelekea katika boti ilikuweza kuvuka baharii na kuweza kufika shuleni ambapo pana umbali wa kama kilometa 8 toka wavuke baharii
wakiwa wamekwisha karibia kupanda katika boti hiloo
hizi ndizo miundo mbinu wanazo tumia watoto wetu pindi wanapo taka kwenda shule pamoja na wakati wa kurudi kumbuka hapo kunawakati bahari hujaa kupita kiasi hivyo huwalazimu kutumia dakika 15 kusubiri mpaka maji yapungue kweli elimu ya tanzania inaitajika kuwezeshwa kwa hali na mali nadhani wadau wa elimu watakuwa wameliona hili na watalifanyia kazi


No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.