Baada ya kudondoka na track iliozua utata juu ya jina la track kamiligado sawia na ya profesa j,kwa sasa msanii N.O.P azuka na video mpya huku akiangazia upweke kama jina la track hiyo NAKUHITAJI,akiwa amemshirikisha producer Joka. N.O.P akiongea na kikwatojr.blogspot.com alisema anakuja kivingine huku akiwaahidi mashabiki mengi mapya.
Seedr one of the best
3 years ago
No comments:
Post a Comment