Blogger Widgets JK amua sasa kuzinduzi ujenzi daraja la Kigamboni | Mfaume Kikwato JR

PALACE HOTEL

PALACE HOTEL

Vumbua Hazina chini ya kizibo

Vumbua Hazina chini ya kizibo
+255788788218

BAYPORT

BAYPORT
KOPA BAYPORT

Friday, September 21, 2012

JK amua sasa kuzinduzi ujenzi daraja la Kigamboni

NewsImages/6606294.jpg 
(picha raisi kikwete akizindua jiwe la msingi)
 Rais Jakaya Kikwete, alizindua rasmi ujenzi wa daraja hilo jijini Dar es Salaam

Daraja hilo litakuwa na urefu wa mita 680 na litakuwa na jumla ya barabara sita ambazo, ambapo daraja hilo litaunganisha maeneo ya Kigamboni na Kurasini

Rais Jakaya Kiwete aliwaomba wakazi wa kigamboni ambao mradi umewafuata wasiwe na wasiwasi wkani stahiki zao zipo na tayari zimeshatayarishwa

Na kuwatahadharisha wakazi wengine ambao wana mpango wa kujenga wasimamishe ujenzi kwani hao hawataweza kulipwa kwa kuwa zuio la ujenzi lilishatolewa

Amesema lengo la Serikali ni kuifanya Kigamboni kuwa mji mpya na wa aina yake ikiwemo na kuboresha jiji la Dar es Salaam.

Pia Rais Kikwete alikana uzushi na uwongo uliozushwa kwamba amemuuzia mji wa Kigamboni Rais wa zamani wa Marekani George Bush kuwa ni uzushi

“Iweje nimuuzie Bush kwanza afate nini huku, yeye ni watu matajiri, kuna watu wanataka wachafue nchi kwa k maslahi yao”

Naye Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli amesema pindi daraja hilo litakapokamilika, watembea kwa miguu na baiskeli ndiyo ambao hawatatozwa kutumia daraja hilo, bali wengine wote watatozwa kwa ajili gharama za uendeshaji wa daraja.
Amesema ujenzi wa daraja hilo linatarajiwa kukamilika mwishoni m

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.