Blogger Widgets | Mfaume Kikwato JR

PALACE HOTEL

PALACE HOTEL

Vumbua Hazina chini ya kizibo

Vumbua Hazina chini ya kizibo
+255788788218

BAYPORT

BAYPORT
KOPA BAYPORT

Monday, September 10, 2012


NA MWANDISHI  AHMAD NANDONDE.
                      
PWANI.

WAANDISHI WA HABARI NCHINI WAMETAKIWA KUANDIKA HABARI ZITAKAZOIBUA MIJADALA MBAYO ITAWAFANYA WANAUME KUSHIRIKISHWA KATIKA SUALA ZIMA  LA AFYA YA UZAZI WA MPANGO.

HAYO YAMESEMWA LEO DK.KATANTA SIMWANZA ALIPOKUWA AKIZUNGUMZA NA WAAANDISHI WA HAABRI KATIKA SEMINA  YA SIKU TATU INAYOFANYIKA MJINI BAGAMOYO.
DK.SIMWANZA AMESEMA ENDAPO MWANAUME ATASHIRIKISHA ATAWEZA KUTOA MCHANGO MKUBWA KATIKA JAMII HUSASANI SULA LA UZAZI WA MPANGO KUTOKANA NA UWEZO WA KUTOA MAAMUZI ALIONANO KATIKA JAMII NA HATA HALI YA KUJIAMINI.

AIDHA DK.KATANTA AMEWATAKA WATU KUTOKUWA NA DHANA INAYOAMINI KUWA WANAUME NI WAONEVU NA NI WATU WABAYA KWA JAMII NA KUWATAKA KUAACHANA NA DHANA HIYO KWANI WANAUME NI WAKISHIRIKISHWA WANAWEZA KULETA MABADILIKO KATIKA SUALA LA AFYA UZAZI WA MPANGO.

AKIZUNGUMZIA SUALA LA SERA YA AFYA BI.BEATRICE EZEKIEL AMEITAKA SERIKALI KUJIPANGA ILI KUFANIKISHA UTEKELEZAJI WA SERA YA JINSIA ILI KUWEZA KULETA MABADILIKO KATIKA JAMI NA HII NI KUTOKANA NA BAADHI YA HALMASHAURI KLATIKA DAWATI LA JINSIA LIMEKUWA LIKIKIKUMBWA NA CHANGAMOTO ZITOKANAZO NA UKOSEFU WA VITENDEA KAZI NA FEDHA.

AMEONGEZA KUWA ILI KUTEKELEZA SERA NI LAZIMA SREKILALI KKUTENGA KIASI CHA FEDHA IKIWA NI PAMOJA NA KUWA UTARATIBU WA KUWAWEZESHA WANAHABARI KUPATA TAARIFA SAHIHI NA KWA KAWATI ILI WAWEZE KUFIKISHA TAARIFA KWA  JAMII HUSIKA.

HATA HIVYO KWA UPANDE WAKE MWEZESHAJI  MWENGINE KATIKA SEMINA HIYO BW. SOSPETER  MAGUMBA  AMESEMA TATIZO LA JINSI LIMEKUWA LIKIWAELEMEA ZAIDI WANAUME KUTOKANA NA KUJIHUSISHA NA MAMBO MENGI YA KUISAIDAIA FAMILI HALI INAYOMFANYAKUSHINDWA KUSHIRIKI IPASAVYO KATIKA SUALA ZIMA LA UPANGAJI WA UZAZI WA MPANGO.

SEMINA HIYO IMEEANDALIWA NA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA NCHINI UJERUMANI LA GIZ KWA LENGO LA KUELIMISHA WAANDISHI WA HABARI MASUALA MBALI MBALI YA JINSI JINSIA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI.

WANAHABAR WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA WAKIPASHA MWILI NA WAWEZESHAJI WAO BAADA YA KIKAO CHA MUDA MREFU 
Rahabu fungo fred mtangazaji wa radio free afrika pia ni mke wa mtangazaji machachari fred fidelis au fredwaa akichangia jambo katika semina hiyo.
Wakiwa katika semiana ya siku tatu iliyomalizika leo bagamoyo millenium hotel ikihusisha wanahabar na watu wa shirika la GIZ kwa lengo la la kuhamasisha wanahabari kuandika habari zinazohusu masuala ya jinsia na maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kulia ni kwanza kulia ni mwezeshaji kutoka shirika la ujerumani la giz mama beatrice ezekiel anayefuata ni mwandishi na mtangazaji wa radio victoria fm musoma bw. ahmad jay nandonde ,james mbuligwe kutoka wananchi blog na mwisho ni mtangazaji wa radio jamii ya wamasai mkoani manyara bw jackson 


No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.