CHAMA CHA ADC SASA CHAKABIDHIWA USAJIRI WA KUDUMU
Baada ya kutafuta usajili kwa muda mrefu sasa chama cha ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE ADC kimeweza kupewa usajili wa kudumu utakacho kiwezesha kuingia rasimi katika kinyanganyiro cha uraisi mwaka 2010 ilikuweza kusambaza ilani ya chama hicho sasa kimepewa mashaririki ya kuhakikisha wanakuwa na matawi katika mikoa yote ya Tanzania bara na Tanzania visiwani ilikuweza kukiruhusu chama hicho kushiriki katika uchaguzi mkuu.
Mwenyekiti wa chama cha ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE ADC Bw.Said Miraji akiwasili katika mkutano mkuu wa chama hicho kwaajili ya kuongea wanachama wake baada ya kukabidhiwa cheti cha kudumu na John Tendwa msajili wa vyama vya siasa Tanzania jana katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini Dar es salaam.
Mwekiti wa Chama cha ADC Bw.Said Miraji katikati akiongea na wanachama wake mara baada ya kukabidhiwa cheti cha kudumu na John Tendwa msajili wa vyama vya siasa Tanzania jana baada ya kutimiza masharti alioyoopewa. ambapo kilipatiwa usajili wa muda tarehe 26 machi 2012 (kulia) ni katibu mkuu wa chama cha (ADC) Bw Kadawi Lucas(kushoto)Mwanachama wa chama FORD Bw.Ramadhani Mohamedi.
No comments:
Post a Comment