Blogger Widgets | Mfaume Kikwato JR

PALACE HOTEL

PALACE HOTEL

Vumbua Hazina chini ya kizibo

Vumbua Hazina chini ya kizibo
+255788788218

BAYPORT

BAYPORT
KOPA BAYPORT

Wednesday, August 29, 2012


MPINI MPYA WA KAMATA MWIZI MEN ft MZEE WA SINDERELA ALI K!

Msanii huyo alisema kwamba mpaka sasa bado hawajajua jina kamili la mpini huo, kwani jina walilokuwa wamependekeza  limetumika na wasanii wengine kwenye nyimbo zao.

Alisema anasubiri wakae kikao na uongozi wake, ili wamsaidie kupendekeza jina la wimbo huo.

Anasema akipendekeza jina hilo pekeyake, inawezekana lisiwe na mvuto kwa mashabiki wake kwa sababu anaweza kusababisha kupoteza malengo yake kwenye muziki.

Naweza kuzungumzia ni yule Msanii wa vichekesho na pia ni mwanamuziki wa kizazi kipya hapa nchini, Hussein Mkieti ‘Sharo Milionea’ anajipanga kuachia wimbo wake mpya ambao amefanya na mkali wa bongo fleva nchini, Alikiba.

Kwani mbali na hilo aliwaomba mashabiki wake waendelee kumpa sapoti kwenye kazi na kwamba, baada ya kuachia wimbo huo, atakuwa na mchakato wa kuufanyia video ili kuwapa burudani iliyokamilika mashabiki wake.

Mbali na kuchomoka na kibao hicho, Sharo Milionea kwa sasa anatamba na kibao chake cha ‘Chuki ni Bure’ alichomshirikisha nyota wa muziki huo, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.