TETESI ZA MAJUU KUHUSU UHAMISHO
Vijana wa Liverpool wamemueleza Andy Carroll, 23, kuamua mustakabali wake wa baadae mwishoni mwa week......
Daniele De Rossi, 29,ambaye anawindwa na Manchester city is set to stay with Roma na kiungo huyo ameitisha kikao leo jumanne na wahandishi wa habari kwaajili ya kutoa uwamuzi
huwenda kiungo Tom Huddlestone, 25, akaondoka kwa mkopo White Hart Lane baada ya Stoke kuonyesha nia ya kutaka kumsajili.
na kwaupande Tottenham haina nia ya kumsajili mshambuliaji wa Arsenal 28-year-old Marouane Chamakh.
huku nako klabu ya Fulham ipo kwenyemazungumzo na Striker wa zamani wa Arsenal Eduardo 29-year-old wa kitita cha £7 m kuja kuwa mbadala wa forward wa kimataifa wa marekani Dempsey ambae mapema wiki hii alikataa kuichezea timu hiyo.
No comments:
Post a Comment