Wajasiriamali wanayonafasi kubwa katika kuhakikisha kwa kiasi fulani vita dhidi ya mifuko ya plastic tunaishinda. wako baadhi wameaonesha njia nadhani ni vema tuwaunge mkono kwa kununua bidhaa zao na kuzitumia kwani ni salama na rafiki wa mazingira na mwisho wa yote tunakuza uchumi wa watanzania wa kipato cha chini
KWA MATANGAZO MBALIMBALI KUHUSU BIASHARA YAKO USISITE KUJITANGAA KUPITIA (KIKWATOJR.BLOGSPOT.COM) WASALIANA NASI KWA SIMU NAMBA +255718991013.+25575433520

ReplyDelete