MKOA WA TANGA KUTOA WIJANA KWAAJILI YA KUSHIRIKI MASHINDANO YA RIADHA TAIFA
picha ni washindi walioshinda katika mashindano ya riadha mko wa Tanga kuweza kwenda kushindana kitaifa kukimbia mita mia kwa wanaume na wanawake mita 200,400na mita 1500 bila kuwasahau washindi katika kurusha mkuki na kurusha tufe kwa wanaume na wanawake
No comments:
Post a Comment