Blogger Widgets Mbunge Marry Mwanjelwa (CCM-Mbeya) apata ajali, na gari lake kuteketea lotekwa moto | Mfaume Kikwato JR

PALACE HOTEL

PALACE HOTEL

Vumbua Hazina chini ya kizibo

Vumbua Hazina chini ya kizibo
+255788788218

BAYPORT

BAYPORT
KOPA BAYPORT

Wednesday, October 3, 2012

Mbunge Marry Mwanjelwa (CCM-Mbeya) apata ajali, na gari lake kuteketea lotekwa moto

 
Masalia ya gari yenye namba za usajili T. 671 ABM aina ya Toyota Ranger mali ya mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Mary Mwanjelwa baada ya kuteketea kwa moto kufuatia ajali iliyotokea eneo la Mbalizi kwa kugongana na basi la abiria.
 
Mabaki ya gari la Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Dk. Mary Mwanjelwa, aliyenusurika katika ajali iliyotokea mjini Mbeya kwa kuhusisha magari manne jana.
 
Mbunge wa Viti maalumu (CCM) Mkoa wa Mbeya, Mary Mwanjelwa, akiwa amepumzishwa katika Hospitali teule ya Ifisi iliyopo Songwe wilayani Mbeya vijijini, baada ya kupata ajali akiwa katikia gari lake lililogongana na Basi la abiria na kupapata ajali eneo la Mbalizi jana na kuuwa jumla ya watu 10 na wengine kujeruhiwa.
  
PICHA KWA NIABA YA IPP MEDIA

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.