Blogger Widgets MWILI WA ALIEKUWA RPC MKOANI MWANZA ASCP LIBERATUS BARLOW WAAGWA LEO MKOANI HUMO | Mfaume Kikwato JR

PALACE HOTEL

PALACE HOTEL

Vumbua Hazina chini ya kizibo

Vumbua Hazina chini ya kizibo
+255788788218

BAYPORT

BAYPORT
KOPA BAYPORT

Tuesday, October 16, 2012

MWILI WA ALIEKUWA RPC MKOANI MWANZA ASCP LIBERATUS BARLOW WAAGWA LEO MKOANI HUMO



hapa akiwa anaingizwa katika viwanja vya nyamagana jijini Mwanza kwajili ya salamu za mwisho kwa waombolezaji

Hii ndio safari ya mwisho ya aliekuwa kamanda wa polisi Mkoa wa Mwanza ASCP Liberatus Barlow (53), alieuwawa juzi kwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi ameacha mjane na watoto wa nne.




Shughuli ya kuuaga mwili wake ilifanyika leo kuanzia saa Nne asubuhi hadi saa Kumi jioni katika viwanja vya Nyamagana jijini Mwanza, ikihudhuriwa na mamia ya watu kutoka jiji hilo na viunga vyake pamoja na watu kutoka mikoa ya jirani.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.