
Taarifa iliyoifikia darhotwire kwa barua pepe, ilisema kuwa I-View itasimamia mikataba yote ya kazi zote za msanii huyo na yeyote atakayetaka kufanya kazi na Diamond kwa sasa itabidi awasiliane I-View.
Designed by Evans Francis. Contact us on +255763544735. Powered by Blogger.
No comments:
Post a Comment